VPL

MGAMBO WACHAPWA NA RUVU SHOOTING

Mgambo shoting leo wamekubali kichapo cha goli 2-1 toka kwa ndugu zao wa Ruvu shooting ya Pwani katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa hii leo katika uwanja wa Mabatini mkoani Pwani.

Katika Mchezo magoli ya wenyeji Ruvu ashooting yalifungwa na Michael Aidan pamoja na  Mwita John  wakati la Mgombo shooting likifungwa na mshambuliaji wao hatari Malimi Busungu.

Kwa matokeo hayo ya leo Ruvu shooting wamefikisha jumla ya pointi 29, wakati Mgambo shooting wakibakiwa na pointi zao 28 huku Prisons wakiwa na pointi 22 wakiwa mkiani mwa msimamo wa ligi wakifuatiwa na Polisi morogoro wenye pointi 24.

MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM BAADA YA MICHEZO YA LEO

RnTimuPWDLFAGdPts
1YANGA21144339122746
2Azam FC22119229151442
3SIMBA SC2298527171035
4KAGERA SUGAR238782222031
5RUVU SHOOTING237881621-529
6MTIBWA SUGAR2361072223-128
7MBEYA CITY2361071921-228
8MGAMBO SHOOTING2284101821-328
9STAND UNITED227781924-528
10Coastal Union236981623-727
11JKT RUVU2367101723-625
12NDANDA FC2367101826-825
13POLISI MORO235991522-724
14T. PRISONS2331371522-722

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.