simba

KIIZA ASINI MIAKA MIWILI SIMBA SC


Mshambuliaji wa zamani wa yanga Hamisi Kiiza Diego amesaini mkataba wa mika miwili na Simba SC baada ya kufuzu vipimo vya afya alivyofanyiwa.

Hamisi Kiiza aliachwa na yan ga katika dirirsha dogo la usajili msimu uliopita katika dakika za mwisho na yanga, alitua nchini hapo jana na leo kufanikisha zoezi la upimaji na kupesaini kandarasi ya kuwatumikia Simba SC.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.