simba

EMERY KUWAKOSA MBEYA CITY

Mlinzi wa Simba Emery Nimubona amevunjika kidole cha mkono hivyo atakuwa nje kwa muda wa wiki 4.

Simbasports.co.tz ilipata nafasi yakuongea na Daktari wa timu ya Simba Yassin Gembe na kusema “Mchezaji wa kimataifa kwenye safu ya Ulinzi Emery Nimubona amevunjika kidole cha mkono wa kushoto wakati akiwa nafanya mazoezi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Mbeya City, kwa sasa Emery amefungwa POP litakalodumu kwa muda wa wiki 4”.

Simbasports.co.tz inamtakia nafuu ya haraka Emery ili aweze kujiunga na kikosi cha Simba. Tutaendelea kukuletea habari zinazohusu maendeleo ya mchezaji Emery kadri zinavyoendelea kupatikana.

Unataka kuwa wa kwanza kupata habari za klabu yako ya Simba tuma neno Simba kwenda namba 15460 utatumiwa ujumbe jibu “OK” nawe utakuwa umejiunga na huduma ya Simba News. Huduma itakayokuwezesha kupata habari za Simba popote ulipo kwa wateja wa Tigo na Vodacom.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.