VPL

MBEYA CITY WAANZA NA SARE, WASULUHU NA KAGERA SUGAR

Mbeya city wameanza safari ya ligi kuu ya vodacom kwa sare msimu huu, baada ya kumaliza dakika 90 hii leo bila ya kufungana na Kagera sugar katika mchezo uliochezwa katika uwanaja wa CCM Kambarage.

Katika mchezo wa leo kipindi cha kwanza kulitengenezwa nafasi chache za magoli kwa upande zote mbili ambapo Mbeya city walitengeneza nafasi mbili, huku Kagera sugar wakitengeneza nafasi moja.

Katika kipindi cha pili kila timu ilijaribu kutengeneza nafasi lakini walishindwa kuzitumia na kupelekea mchezo kumalizika kwa sare ya bila kufngana.

MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM


RnTimuPWDLFAGdPts
1SIMBA SC11003123
2Ruvu Shooting11001013
3T. PRISONS11001013
4African Lyon10101101
5Azam FC10101101
6KAGERA SUGAR10100001
7Mbao FC10100001
8MBEYA CITY10100001
9STAND UNITED10100001
10JKT RUVU00000000
11MWADUI FC00000000
12TOTO AFRICANS00000000
13YANGA00000000
14MAJIMAJI FC100101-10
15MTIBWA SUGAR100101-10
16NDANDA FC100113-20


About kj

0 comments:

Powered by Blogger.