VPL

AWADHI JUMA AIPA TATU MWADUI FC


Kiungo wa Simba SC anaecheza kwa mkopo Mwadui FC Awadh Juma hii leo ameiwezesha Mwadui FC kuvuna pointi zote tatu mbele ya Mbao DC katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa katika uwanja wa Mwadui complex.

Katika mchezo huo ulioanza saa nane mchana Mwadui FC iliwabidi wangoje mpaka dakika ya 85 kuandika goli pekee lililofungwa na Awadh Juma, na kuifanya Mwadui FC kuibuka na ushindi wa goli 1-0 mbele ya Mbao FC.

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.