VPL

MWADUI WAICHAPA TOTO, KAGAREA WAILAZIMISHA SARE MBEYA CITY

Mwadui FC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 mbele ya wageni wao Toto Africans katika uwanja wa Mwadui Complex.

Katika mchezo huo wa leo Mwadui FC iliwabidi wasubiri mpaka dakika 70 kupata goli lao pekee kupitia kwa mtokea benchi Salim Khamisi na kufanikiwa kuwafunga goli 1-0 Toto Africans.


Katika mchezo mwingine uliochezwa katika uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya Kagera  Sugar wamelazimisha sare kwa Mbeya City ya bila kufungana, huku ndugu zao Mtibwa Sugar wakitoa  sare ya goli 1-1 na Ruvu shooting.



MATOKEO YA LEO 

JKT RUVU 0-3 YANGA SC
RUVU SHOOTING 1-1 MTIBWA SUGAR
MBEYA CITY 0-0 KAGERA SUGAR
MWADUI FC 1-0 TOTO AFRICANS


MSIMAM O WA LIGI KUU YA VODACOM

RnTimuPWDLFAGdPts
1YANGA1611323482636
2SIMBA SC1511222662035
3Azam FC157442314925
4KAGERA SUGAR167451616025
5MTIBWA SUGAR166642019124
6STAND UNITED155731512322
7Ruvu Shooting164841517-220
8MBEYA CITY165561315-220
9T. PRISONS15474910-119
10NDANDA FC155461316-319
11African Lyon154561015-517
12MWADUI FC164481321-816
13MAJIMAJI FC155191223-1116
14Mbao FC154381520-515
15JKT RUVU16277615-913
16TOTO AFRICANS163310918-912

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.