VPL

MTIBWA YAENDELEA KUKOMAA KILELENI MWA LIGI, WAICHAPA MBAO

\Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara mwaka 1999 na 2000 Mtibwa Sugar wameendeela kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya vodacom baada ya leo kuibuka na ushindi wa goli 2-1 mbele ya Mbao FC.

Mtibwa sugar hii leo walikuwa wneyeji wa Mbao FC katika uwanja wa Manungu complex ambapo kulishuhudiwa dakika 45 za mwanzo zikimalizika kwa sare ya goli 1-1.

Goli hilo la kwanza la Mtibwa Sugar lilifungwa na Issa Rashid, huku la ushindi lililofungwa kipindi cha pili likifungwa na Kelvin Sabato na kuifanya mtibwa Sugar kukusanya pointi zote 9 katika michezo mitatu iliyo kwisha cheza.


MATOKEO MENGINE YA LEO

Tanzania Prisons 0-0 Ndanda FC
Stand united 0-1 Singida United
Lipuli 0-0 Ruvu shooting
Majimaji 1-1 Yanga
Mtibwa Sugar 2-1 Mbao FC


MICHEZO YA KESHO

Simba SC vs Mwadui FC
Mbeya City Vs Njombe Mji

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.