TFF

SIMBA NA AZAM KUKIPIGA CHAMANZI USIKU


Shirikisho la soka nchini TFF limebaliki kutumika kwa  uwanja wa Azam Complex katika mcichezo inayo husisha Azam FC dhidi ya Simba na Yanga pale Azam FC inapokuwa mwenyeji katika michezo ya ligi kuu ya vodacom.

Mchezo wa kwanza wa Azam FC dhidi ya timu hizo kongwe kuchezwa katika uwanja wa Azam Complex utakuwa dhidi ya Simba SC utakao fanyika jumamosi ya september 9 mwaka huu saa moja usiku

About Unknown

0 comments:

Powered by Blogger.