Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT) kwa kupitia chama cha waamuzi wa ngumi za ridhaa wameteua na kuwadhibitisha waamuzi watakao tumika katika mashindano ya ubingwa wa taifa yatakayofanyika kuanzia tarehe 17-22/09/2012 uwanja wa taifa wa ndani.
Waamuzi walioteuliwa ni:-
Mohamed Kasilamatwi mwamuzi wa kimataifa na Juma Selemani mwamuzi wa Afrika kama wasimamizi wa waamuzi.
Waamuzi wa ngazi ya taifa walioteuliwa ni:-
Maneno Omari
Ridhaa Kimweli
Mohamed Bamtulla
Shija Masanja
Mafuru Mafuru
Moshi Makali
Hamza Abdallah
Marko Mwankenja.
MAKORE MASHAGA
(KATIBU BFT)
0713588818
0 comments:
Post a Comment