Home /
CAF /
simba
/
OKWI NA BOCCO FITI KUWAVAA WARABU, MCHEZO KUCHEZWA USIKU, VIINFILIO VYATAJWA
CAF
OKWI NA BOCCO FITI KUWAVAA WARABU, MCHEZO KUCHEZWA USIKU, VIINFILIO VYATAJWA
Nahodha wa Simba SC John Bocco na mshambuliaji wa timu hiyo Emanuel Okwi wako fiti kucheza mchezo wa kombe la shirikisho la soka Afrika, dhidi ya Al-Masry ya nchini Misri, mchezo utakaochezwa jumatano wiki hii katika uwanja wa Taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari, afisa habari wa Simba SC Haji Manara amesema kuwa wachezaji hao waliokosekana katika mchezo wa jana dhidi ya Stand United wako fiti kucheza katika mchezo wa shirikisho siku ya jumatano.
Manara akizungumzia maandalizi ya mchezo huo amesema kuwa mchezo huo utaanza saa 12 jioni badal ya saa 10 alasiri na tiketi za mchezo huo zitaanza kuuzwa kesho kutwa (jumatatu).
“Tumeweka viingilio vya aina tatu, mzunguko pamoja na Orange kiingilio itakuwa ni Tsh. 5000, VIP B Tsh. 15,000 na VIP A Tsh. 20,000. Kuanzia keshokutwa vituo vyote vya Puma na sehemu nyingine zote ambazo nitazitaja kesho zitauzwa tiketi na watu wa Selcom kama ilivyo dasturi. Tutajitahidi kuwe na centre nyingi ili watu wapate tiketi kwa urahisi.” alise Manara. “Klabu ya Al Masry itawasili kesho (Jumapili) jioni saa 12, siku ya Jumatatu jioni wafanya mazoezi kwenye uwanja wa taifa kama kanuni zinavyotaka kwa sababu Jumanne kutakuwa na mchezo wa klabu bingwa kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers.” “Waamuzi watawasili siku ya Jumatatu saa 10 jioni kutoka Afrika Kusini lakini mechi kamishna anatoka Elitrea ambaye atawasili siku moja pamoja na waamuzi.” “Pre-match meeting itafanyika siku ya Jumanne jioni kwenye hotel ya Golden Tulip. Maandalizi mengine ndani ya timu yetu yanakwenda vizuri, timu imeingia kambini leo baada ya mchezo wa jana wa ligi kuu."
OKWI NA BOCCO FITI KUWAVAA WARABU, MCHEZO KUCHEZWA USIKU, VIINFILIO VYATAJWA
Reviewed by
dada
on
8:11:00 PM
Rating:
5
Update Za Msuni
NGORONGORO KUWAKABILI MOROCCO WIKIEND HII, STARS KUELEKEA ALGERIA
-
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes)
inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya
Morocco na ...
7 years ago
KIUNGO WA YANGA MCHEZAJI BORA FEBRUARY
-
Kiungo wa timu ya Yanga, Papy Tshishimbi Kabamba amechaguliwa kuwa mchezaji
bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa mwezi Februari 2018. Tshishimbi
amet...
7 years ago
YANGA YAICHAPA STAND UNITED, YAIKAMATA SIMBA SC
-
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania Bara Yanga wamefanikiwa
kuwafikia Simba SC, baada ya leo kuibuka na ushindi wa goli 3-1 mbele ya
Stand ...
7 years ago
RAIS MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA (KM 45)
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli
akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa uzinduzi wa
barabara ya...
7 years ago
TUZO KWA WAANDISHI WA HABARI ZA MAJI ZATANGAZWA TENA
-
Shirika lisilo la kiserikali la Shahidi wa Maji kwa kushirikiana na wadau
mbalimbali nchini na ne ya Tanzania kupitia programu yake ya Uhakika wa
Maji,...
7 years ago
SIMBA YAINGIZA MIL 43 WAKATI YANGA AKIINGIZA MIL 28.8
-
Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Africa uliozikutanisha Simba ya
Tanzania na Al Masry ya Misri uliochezwa Jumatano Machi 7,2018 kwenye
Uwanja wa Taif...
7 years ago
AZAM WAICHAPA MWADUI NAKUSOGEA MPAKA NAFASI YA PILI
-
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli baada ya
kuidungua Mwadui bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
(VP...
7 years ago
AZAM FC KWENYE MAWINDO YA KUREJEA NAFASI YA PILI KESHO MBELE YA MWADUI
-
IKIWA katika morali nzuri kabisa, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati
Azam FC, itakuwa kwenye vita kali ya kuhakikisha inavuna pointi tatu muhimu
pa...
7 years ago
BILIONI 1.4 KUBORESHA VITUO VYA AFYA RUANGWA
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa shilingi bilioni 1.4
kwa ajili ya kuboresha vituo vitatu vya afya katika wilaya Ruangwa mkoani
Lindi....
7 years ago
Turn Your Smartphone into a Wireless Mouse & Keyboard for Your Computer
-
While you can do a lot of things on your smartphone that were once only
done on a computer, having a laptop is still necessary and critical for
many tasks...
7 years ago
BOCCO AIMALIZA SIMBA TAIFA
-
Goli la nahodha wa Azam Azam FC John Raphael Bocco limetosha kuipatia
pointi tatu muhimu Azam FC mbele ya Simba SC katika mchezo wa ligi kuu ya
vodacom ul...
8 years ago
KILIMANJARO WATWAA UBINGWA WA CECAFA
-
Haikuwa ubashiri, badala yake ilikuwa ni mipango thabiti ya Shirikisho la
Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhakikisha kwamba inavuna ushindi na kuwa
mabing...
8 years ago
KVZ NA MAFUNZO HAKUNA MBABE - LIGI KUU ZANZIBAR
-
Ligi Kuu Soka ya Zanzibar hatua ya 8 Bora imeendelea tena leo kwenye dimba
la Aman wakati wa saa 10 za jioni kwa Mafunzo kugawana alama moja moja na
KVZ...
8 years ago
UJUMBE NILIO UPATA TOKA KWA MASHABIKI WA SIMBA
-
Habarini ndugu waandishi wa habari. Tukiwa kama mashabiki wa Simba
hatujaridhishwa na hali ya timu yetu ni muda mrefu tunakuwa tunakosa
makombe lakini wa...
8 years ago
NKONGO AKABIDHIWA PAMBANO LA YANGA NA AZAM FC JUMATANO
-
Mwamuzi mahiri nchini, Israel Mujuni Nkongo wa Dar es Salaam, Jumatano Mei
25, 2016 ameteuliwa kuwa mwamuzi atakayechezesha mchezo wa fainali za Kombe
la...
9 years ago
MALINZI AMPONGEZA RAVIA
-
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amempongeza
Ravia Idarous Faina wa kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Soka Visiwani
Zanzibar...
9 years ago
Kikapu wasaka Sh. milioni 44
-
CHAMA cha Mpira wa Kikapu Dar es Salaam (BD), kinahitaji zaidi ya Sh.
milioni 44 kwa ajili ya kuzisafirisha timu zake kushiriki mashindano ya
majiji ya A...
9 years ago
JESHI STARS YAJITOA KOMBE LA MUUNGANO
-
COSMAS MLEKANI, ZANZIBAR
TIMU ya Jeshi Stars imejitoa kushiriki mashindano ya netiboli ya Muungano
inayotarajia kuanza Jumanne kwenye Uwanja wa Gymkhana ...
9 years ago
VIJIWE VYA MICHEZO
Premier League side make club-record signing in £30m deal signifying bold
statement of intent ahead of new campaign
-
Sunderland made a statement of intent ahead of their first Premier League
season in eight years by signing a player for a club-record fee of
£30million.
50 minutes ago
Top 10 Most Discussed Betting News Stories This Year
-
This year’s dynamic landscape of sports betting has been nothing short of
captivating. We’ve witnessed a whirlwind of events, from groundbreaking
legislati...
2 days ago
TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA MADAGASCAR MECHI YA UFUNGUZI COSAFA
-
TANZANIA jana ilianza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa
Afrika (COSAFA) baada ya kufungwa bao 1-0 na Madagascar Uwanja wa Free
State Toyo...
2 weeks ago
When Do Blueberries Grow
-
[image: When do blueberries grow]
When do blueberries grow
They're native to North America, where the harvest runs from April to late
September. During t...
10 months ago
Kisa Simba, Yanga yamsimamisha mwanasheria wao
-
Simon alikaimu nafasi hiyo baada ya David Ruhago kufurushiwa virago.
4 years ago
Match Preview: Simba v Azam FC
-
NI mpambano wa kufa au kupona! Ndio unavyoweza kuielezea hivyo mechi ya
robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) kati ya Azam FC
na Simb...
4 years ago
SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA
ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA
-
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
ambaye kwa sasa anamnowa bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kwa aj...
5 years ago
37岁姚笛沉寂六年高调复出,短发造型撞款马伊琍,这次真的没有输
-
37岁姚笛沉寂六年高调复出,短发造型撞款马伊琍,这次真的没有输近期姚笛为杂志拍摄的一组大片曝光后,将这么在影视圈沉寂六年的大眼美人又推上了新闻热点。姚笛受当年事情的影响,在红极一时的大女主时期被雪藏。...
5 years ago
HII NDIYO SIRI YA MABAO YA OKWI NA KAGERE
-
KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa mabao
wanayoendelea kufunga washambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi na Mnyarwanda,
Meddie Kagere n...
6 years ago
AZAM NA MTIBWA SASA MACHI 31
-
ROBO fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) kati ya
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na Mtibwa Sugar sasa
itafanyik...
7 years ago
SHEIN RANGERS YACHAPWA 3 - 1
-
Mchezo wa kirafiki uliochezwa jana dhidi ya SHEIN RANGERS na katabazi fc
uliisha kwa Shein Rangers kupoteza kwa magoli 3-1 kiukweli timu yangu jana
haikuch...
7 years ago
AZAM KUUVAA MFUPA ULIOTEMWA NA SIMBA, YANGA
-
*Mwandishi wetu;*
*UONGOZI wa Klabu ya Azam umethibitisha kuwa kesho Jumatano kikosi chake
kitashuka dimbani kucheza na mabingwa wa Afrika, Mamelodi Sundow...
8 years ago
JE UNAJUA KWAMBA TANZANIA INA TIMU 4 CAF ?
-
Mara nyingi kumekuwa na mtazamo kuwa Tanzania inawakilishwa na timu 2
katika mashindano ya Orange Champions League na kombe la washindi wa pili
huku ukw...
8 years ago
Ufaransa yazidi kupaa kileleni Euro
-
Mechi kali ilikuwa ya piga nikupige kati ya Switzland na wenyeji wa
michuano hiyo Ufaransa lakini wakaishia kutoka uwanjani pasipo kutikisa
nyavu yaani s...
9 years ago
KUWAONA SIMBA VS YANGA , SHARTI UWE NA BUKU SABA
-
NA MWANDISHI WETU
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limeweka wazi viingilio vya mchezo wa
‘Watani wa Jadi’ Simba na Yanga, katika ligi kuu ya Vodacom Tan...
9 years ago
YANGA YAIFUNGA TIMU YA KOMOROZINE BAO 7 - 0
-
*Ubao wa Matokeo.*
* Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Hamis Kiiza akiipachikia timu yake bao la
nne kati ya saba yaliyotiwa kimiani,wakati wa mchezo wao wa Kl...
11 years ago
NAFASI ZA MASOMO AL MAKTOUM COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY
-
Chuo cha Al-maktoum College Of Engineering and Technology (AMCET)
kinatangaza nafasi za masomo ya cetificate na diploma kwa mwaka wa masomo
wa 2013/14.
Chu...
12 years ago
JEZI ZA MAZOEZI
-
Hizi ndio jezi zetu za mazoezi mwaka huu 2012.
12 years ago
BONDE FC NI MABINGWA WAPYA WA BEIRA YOUTH CUP 2012
-
Timu ya Bonde fc jana iliibuka kuwa mabingwa wapya wa BEIRA YOUTH CUP
2012 ubingwa huo umepatikana baada ya kuibuka na ushindi wa gili 5-4 dhidi
ya New B...
13 years ago
-
Nchunga Ajiuzulu
Hatimaye Mwenyekiti wa Yanga mwanasheria Lloyd Nchunga ametangaza rasmi
kujiuzulu nafasi yake hiyo aliyokuwa anaishikilia baada ya kulal...
13 years ago
ABOODMSUNI NA SOKA LA BONGO: Villa watolewa na FFU; hawataki kuitwa vibonde
-
ABOODMSUNI NA SOKA LA BONGO: Villa watolewa na FFU; hawataki kuitwa vibonde:
Baada ya mchezo wa Villa Squad FC vs Simba SC kumalizika na Villa kuwa
vidume ...
13 years ago
CHANETA VS CHANEZA KIKAONI
-
*CHANETA VS CHANEZA KIKAONI*
Chama cha Netiboli Tanzania Bara (CHANETA) na wenzao wa Zanzibar (CHANEZA)
wanatarajia kukaa pamoja Jan 28, mwaka huu.
CHANE...
13 years ago
Azam FC kigali
-
13 years ago
Poulsen ataja First XI
-
Taifa Stars
Kocha Jan Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 11 ambao wataanza kwenye
mechi ya leo dhidi ya Morocco. Mechi hiyo inaanza saa 1.30 usiku kwa sa...
13 years ago
PAULSEN ATANGAZA KIKOSI CHA MAUAJI DHIDI YA MOROCCO
-
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen leo (Septemba 27 mwaka huu)
ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kwa ajili ya mechi ya mwisho ya mchujo
kuwania tiketi...
13 years ago
MADA: MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA IKO WAPI KI MICHEZO?
-
Mdau wa michezo nchini Tanzania Juma Simba (katibu wa siasa itikadi na
uenezi CCM mkoa wa Dar salaam) akifafanua jambo katika Hospitali ya
michezo-Spoti ...
13 years ago
HABARIKA
KADA CCM ENOCK KOOLA ACHUKUA FOMU CCM KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO
-
Na Mwandishi Wetu
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Enock Koola, ambaye ni msomi wa masuala
ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, amechukua fomu ya kugombea ...
3 minutes ago
TUNAOMBA MTUKUMBUKE ILI TUINUE VIPAJI VYETU
-
*Marie Msellemu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano -TPDC
akimkabidhi kikombe kiongozi wa michezo Sekondari ya Ziwaniiliyyopo
Manipsaa ya Mtwara...
4 weeks ago
Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
1 year ago
What's the origin of the long-ago Swahili civilization? Genes offer a
revealing answer
-
[image: Fishermen land their wooden boats on the beach in Tanzania, one of
the countries involved in the genetic analysis of the Swahili people.
Gideon Men...
2 years ago
Magufuli awatuliza wabunge nafasi za uwaziri
-
Amesema hakuna haraka ya kuteua mawaziri kwa kuwa wengi wana sifa
4 years ago
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
7 years ago
UTURUKI YAIAMBIA UFARANSA: QURAN ITALINDWA MPAKA MWISHO WA DUNIA
-
Msemaji wa ikulu ya rais Uturuki Ibrahim Kalın amepeperusha ujumbe katika
ukurasa wake wa Twitter akifahamisha kuwa kitabu kitakatifu cha uislamu
Quran ki...
7 years ago
TANGAZO: MTOTO YUNUS HUSSEIN MKAZI WA MBEZI JUU KAPOTEA.
-
YUNUS HUSSEIN {ALIYEPOTEA}
MTOTO YUNUS HUSSEIN PICHANI JUU MWENYE UMRI WA MIAKA 12 AMEPOTEA ...
7 years ago
PROFESA ABDALLAH SAFARI
-
Na Happiness Katabazi PROFESA SAFFARI ni Mbobezi,Mhadhiri wa Fani ya Sheria
na Mwandishi wa vitabu vingi tu. Nakushukuru Mzee wangu Profesa Safari
kwakuiku...
7 years ago
Turn Your Smartphone into a Wireless Mouse & Keyboard for Your Computer
-
While you can do a lot of things on your smartphone that were once only
done on a computer, having a laptop is still necessary and critical for
many tasks...
7 years ago
SIKIA HII YA RAISI WA TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI
-
Katika hali ambayo haikutarajiwa Raisi amewesahii wale wote ambao
wameficha mapesa wakiogopa wanaweza kugundulika baada ya kuzipata kwa njia
ambazo sio ha...
8 years ago
MRIPUKO WA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA ZANZIBAR NINI KIFANYIKE ?
-
TUJADILI KWA PAMOJA
MRIPUKO WA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA ZANZIBAR NINI KIFANYIKE ?
Taarifa za kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya korona zinazo...
9 years ago
Ugaidi Hauna Mahusiano na Dini ya Uislamu-Sheikh Jalala
-
*Kiongozi Mkuu wa kiroho wa Waislam Dhehebu la SHIA ITHNASHERIYA Tanzania
Sheikh HEMED JALALA akifafanua jambo kuhusu suala la Ugaidi, Sheikh Jalala
alise...
10 years ago
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
Siku za Tashriq Si Siku za Kufunga
-
Shukrani zote zinamstahiki Allah, rehma na amani zimshukie Mtume (ﷺ), ali
zake na masahaba wake pamoja na wote wenye kufuata mwenendo wake mpaka siku
ya qi...
10 years ago
HOFU YA VYETI FEKI SERIKALINI
-
- *WATUMISHI WOTE SASA KUHAKIKIWA VYETI VYAO*
- *ASKARI WALIOVITUMIA KUPANDA VYEO KUKIONA *
*Na Heri Shaaban*
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kuje...
11 years ago
Preaching
-
My Dear Brother and Sisters, Assalam o alaikum.
Today i am going to talk on very important topic
about Preaching.
As we all Muslim ...
12 years ago
1 BILLION RISING 14 Feb 2013
-
On February 14, 2013, the largest day of action in the history of V-Day,
Dar es Salaam will take part in a global revolution to end violence against
wome...
12 years ago
JK- Tunajua biashara ya dini inalipa, lakini msiivuruge Tanzania
-
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa mtindo wa kufanya fujo na kusababisha
uvunjifu wa amani kwa visingizio vya dini nchini ni biashara inayolipa na
ndiyo maa...
12 years ago
HASHEEM THABEET NA NYOTA WENZAKE WA NBA WATOA MAFUNZO YA KIKAPU DAR
-
NYOTA wa mpira wa kikapu kutoka Marekani, Hasheem Thabeet Mtanzania
anayehezea Oklahoma City, Luol Deng Muingereza mwenye asili ya Sudan
Kusini, ana...
12 years ago
Rusha habari yako mwenyewe
-
Sasa unaweza kurusha habari yako mwenyewe. Hauhutaji kumtumia mwenye blog
akurushie habari yako. Fanya wewe mwenyewe hapa *vavavuum.com*. *Username
ni mda...
13 years ago
UTAFITI: WAKAZI WA NCHI ZA BARIDI WANA MACHO NA UBONGO MKUBWA KULIKO WAKAZI
WA NCHI ZA JOTO
-
Matokeo ya utafiti yaliyochapishwa mwaka jana yanaonyesha kwamba watu
wanaoishi katika ukanda wa nchi za baridi juu ya mstari wa Ikweta wana
macho na ubo...
13 years ago
0 comments:
Post a Comment