yanga

KIUNGO WA YANGA MCHEZAJI BORA FEBRUARY


Kiungo wa timu ya Yanga, Papy Tshishimbi Kabamba amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa mwezi Februari 2018.   Tshishimbi ametwaa nafasi hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili alioingia nao katika kinyang’anyiro kwa mwezi Februari, katika uchambuzi uliofanywa na Kamati ya Tuzo iliyokutana Dar es Salaam wiki hii.   Kiungo huyo 

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.