kitaa UJUMBE NILIO UPATA TOKA KWA MASHABIKI WA SIMBA kj 4:17:00 PM kitaa , simba Edit Habarini ndugu waandishi wa habari. Tukiwa kama mashabiki wa Simba hatujaridhishwa na hali ya timu yetu ni muda mrefu tunakuwa tunakosa makombe lakini wale viongozi wa Simba hawana lolote wanalofanya bora enzi za uongozi uliopita. Tunaomba mtoe katika vyombo vyenu tunataka Simba iende hatua nyingine. Tulijadiliana tukaona ndugu yetu MO anattaka kununua timu sasa kwanini tumnyime na hali ni mbaya. Tupeni msaada habari itoke... Plz nisaidie https://www.change.org/p/uongozi-wa-simba-tumfanye-mo-dewji-awe-mwenye-hisa-nyingi-simba?recruiter=576395378&utm_source=petitions_show_components_action_panel_wrapper&utm_medium=copylink Attac SHARES Share Pin it Tweet Share Share Share Buffer Print About kj RELATED POSTS UJUMBE NILIO UPATA TOKA KWA MASHABIKI WA SIMBA Reviewed by kj on 4:17:00 PM Rating: 5
0 comments:
Post a Comment