basketball Kikapu wasaka Sh. milioni 44 kj 9:54:00 AM Add Comment Edit CHAMA cha Mpira wa Kikapu Dar es Salaam (BD), kinahitaji zaidi ya Sh. milioni 44 kwa ajili ya kuzisafirisha timu zake kushiriki mashindano... Read More
basketball MAFUNZO YA KIKAPU KUFANYIKA IRINGA Unknown 9:08:00 AM Add Comment Edit KOCHA wa timu ya mpira wa Kikapu Matthew Mc Colister leo ataendesha mafunzo ya mchezo huo mkoani Iringa. Mafunzo hayo yanawalenga wacheza... Read More
basketball DAR WAJIPANGA KIKAPU MAJIJI NAIROBI kj 9:11:00 AM Add Comment Edit ICHUANO ya Mpira wa Kikapu ya Majiji inatarajiwa kufanyika Nairobi, Kenya mwaka huu, huku Dar es Salaam wakisema wamejipanga kwa mashindan... Read More
basketball ZONGA ADAIWA KUTAFUNA mil 40/- kj 11:40:00 AM Add Comment Edit Katibu Mkuu wa TBF Saleh Zonga KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Saleh Zonga amesema kuwa anashangazwa na ta... Read More
basketball NYOTA WA MALAWI KUWAKABILI TIMU ZA DAR kj 9:12:00 PM Add Comment Edit Mratibu wa Sprite BBall Kitaa Karabani Karabani akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar-es- Salaam kuhusu mechi za kirafiki zita... Read More
basketball CHAMA CHA KIKAPU MKOA WA ARUSHA MBIONI KUFANYA UCHAGUZI kj 6:12:00 PM Add Comment Edit Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Arusha (ARBA), Kipo katika hatua za mwisho kufanya uchaguzi Mkuu mapema mwezi huu uongozi utakao kiongo... Read More
basketball 8 KUSHIRIKI SUPER CUP kj 9:59:00 AM Add Comment Edit ZAIDI ya timu nane za kikapu mkoa wa Dar es Salaam zinatarajiwa kushiriki kwenye mashindano ya Super Cup yatakayoanza kutimua vumbi kuanz... Read More
basketball BBALL KITAA SHUGHULI NI LEO kj 7:50:00 AM Add Comment Edit PAMBANO la kukata na shoka la mpira wa kikapu la Bball Kitaa linafanyika leo jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha timu mbili zenye upin... Read More
basketball TBF YAANDA MICHUANO YA WANAWAKE DAR Unknown 5:38:00 PM Add Comment Edit SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), limeandaa mashindano ya wanawake yatakayoanza kutimua vumbi kuanzia Aprili 8 hadi 16, mwaka ... Read More
basketball MZUNGUKO WA PILI KIKAPU DAR KUANZA LEO kj 5:53:00 AM Add Comment Edit MZUNGUKO wa pili wa michuano ya Ligi ya Kikapu inatarajiwa kuanza leo kwenye uwanja wa ndani wa Taifa huku timu nne zikishuka dimbani ku... Read More
basketball NEW WEST HOI ZANZIBAR Unknown 10:08:00 AM Add Comment Edit TIMU za mpira wa kikapu za New West za miaka minane hadi 15 na miaka 15 hadi 20, zimeshindwa kutamba mbele ya timu za Stone Town kwa kukubal... Read More
basketball DODOMA, TEMKE ZAANZA KWA USHINDI KIKAPU TAIFA Unknown 12:43:00 PM Add Comment Edit MASHINDANO ya Kombe la Taifa kwa mpira wa kikapu yalianza juzi mkoani hapa kwa timu za Dodoma na Temeke kutoa vipigo katika mechi za ufunguz... Read More
basketball CBE, UDSM KUCHUANA KATIKA BBALL KITAA kj 6:18:00 AM Add Comment Edit TIMU za mpira wa kikapu zenye upinzani mkali Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), zitapambana kesho kat... Read More
basketball AZAM MEDIA WAIDHAMINKI BASKETBALL DAR Unknown 7:54:00 PM Add Comment Edit KAMPUNI ya Azam Media imejitokeza kudhamini mashindano ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwisho... Read More
basketball KIKAPU KIKATAA YAZIDI KUPAMBA Unknown 4:49:00 PM Add Comment Edit MASHINDANO ya Sprite Bball Kitaa yamezidi kupamba moto katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam mwishoni wa wiki ambapo timu nane za... Read More
basketball EASTERN ZONE YANGARA Unknown 4:23:00 AM Add Comment Edit TIMU ya Eastern Zone One imeanza vyema mashindano ya mpira wa kikapu ya Sprite BBall Kitaa kwa kuifunga Eastern Zone Two 34 -15 katika mchez... Read More
basketball 11 WAJITOKEZA KWANIA KUONGOZA KIKAPU kj 11:00:00 AM Add Comment Edit WAKATI uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) ukiwa katika hati hati ya kutofanyika wagombea 11 wamejitokeza kuchuku... Read More
basketball UCHAGUZI TBF WAINGIA DOSARI kj 6:12:00 AM Add Comment Edit WAKATI Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), likitangaza kufanyika kwa uchaguzi wake mkuu Desemba 28 mwaka huu mjini Dodoma, ma... Read More
basketball KIKAPU YATAKA mil100 kj 8:06:00 AM Add Comment Edit Imani Makongoro SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania, TBF, linahitaji Sh100 milioni kufanikisha michuano ya Kombe la Taifa iliyopangwa k... Read More
basketball Migogoro ndiyo inayo didimiza kikapu kj 11:24:00 AM Add Comment Edit Brown Msyani MGOGORO wa chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Dar es Salaam (BD) umesababisha hali ya uwajibikaji kupungua katika bodi ya ... Read More