COSMAS MLEKANI, ZANZIBAR TIMU ya Jeshi Stars imejitoa kushiriki mashindano ya netiboli ya Muungano inayotarajia kuanza Jumanne kwenye Uw...
Read More
Home / netball
Showing posts with label netball. Show all posts
Showing posts with label netball. Show all posts
TANZANIA YASHUKA KIMATAIFA
TANZANIA imeporomoka katika viwango vya mchezo wa netiboli duniani baada ya kuondolewa katika orodha ya nchi zinazotambuliwa na Shiri...
Read More
JKU AONYESHA UBABE KWA MAFUN ZO
TIMU ya netiboli ya JKU imeendeleza ubabe kwa Mafunzo kwa kuifunga mabao 48-30 katika mchezo wa Ligi ya Kanda ya Unguja uliochezwa juzi k...
Read More
MWAKA WA SHETANI, TAIFA QUEENS WACHAPWA ZOTE BOTSWANA
TIMU ya taifa ya netiboli ya Tanzania, Taifa Queens, imetoka mikono mitupu katika mashindano ya Afrika nchini Botswana baada ya kufungwa ...
Read More
NIC, JKT BWENI KIVUMBI NUSU FAINALI
TIMU nne za netiboli za wanawake zimetinga nusu fainali wakati timu mbili za wanaume zimefuzu kwa fainali ya Klabu Bingwa ya Afrika Masha...
Read More
NIC HAIKAMATIKI AFRIKA MASHARIKI
Na Mwajuma Juma, Zanzibar TIMU ya netiboli ya NIC ya Uganda imeendelea kutesa katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki baada y...
Read More
UHAMIAJI, KCCA ZANGARA KLABU BINGWA AFRIKA MASHARIKI
MICHUANO ya netiboli klabu bingwa Afrika Mashariki jana iliingia katika siku ya nne huku timu za Uhamiaji, KCCA, Prisons na NIC za Uganda...
Read More
ZANZIBAR KUANDAA KLABU BINGWA AFRIKA MASHARIKI
ZANZIBAR inatarajiwa kuwa mwenyeji wa michuano ya Afrika Mashariki ya Klabu Bingwa ya mpira wa netiboli yatakayofanyika mwezi ujao. Ha...
Read More
CHANETA KUKUTANA APRILI 5
MKUTANO Mkuu wa Chama cha Netiboli Tanzania (Chaneta) unatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia Aprili 5, imeelezwa. Mwenyekiti w...
Read More
CHANETA WAOMBA USHIRIKIANO
CHAMA cha Netiboli Tanzania (CHANETA) kimeomba wadau kujitokeza kuwaunga mkono katika maandalizi ya mashindano ya Afrika yatakayofanyika...
Read More
TANZANIA MWENYEJI WA MASHINDANO YA NETBALL AFRIKA
TANZANIA imethibitisha kuwa mwenyeji wa mashindano ya netiboli ya Afrika yatakayofanyika Mei mwaka huu jijini Dar es Salaam, imeelezwa. ...
Read More
TEMEKE MABINGWA NETBALL TAIFA
TIMU ya netiboli mkoa wa Temeke imetetea ubingwa wa Kombe la Taifa baada ya kushinda michezo yote saba, katika michuano iliyomaliza jana...
Read More
TEMEKE YAENDELEZA WALIPO ISHIA MWAKA JANA
MABINGWA wa netiboli msimu uliopita timu ya Temeke imeendeleza ubabe kwa kushinda mchezo wake wa tano bila kufungwa juzi katika michuano...
Read More
SHYROSE AISAIDIA CHANETA
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji jana alifungua mashindano ya Netiboli Taifa na kuahidi kutoa zawadi kwa washindi wat...
Read More
CHANETA WAANIKA MIKAKATI YA MWAKANI
CHAMA cha Netiboli Tanzania (CHANETA) kimesema mkakati wao wa mwaka 2015 ni kuhakikisha wanatafuta udhamini utakaowasaidia kuboresha mas...
Read More
NJOMBE, ARUSHA ZATAMBA NETBALL
TIMU ya netiboli ya Halmashauri ya wilaya ya Njombe katika mkoa mpya wa Njombe , imejipatia ushindi mnono dhidi ya wapinzani wake timu ya H...
Read More
TIMU 6 ZAPANDA DARAJA
TIMU sita za netiboli zilizokuwa zinashiriki fainali za Ligi Daraja la Pili Taifa zilizomalizika jijini Tanga, zimepanda daraja, imeelez...
Read More
TANZANIA YA POROMOKA KIMATAIFA
WAKATI Uganda na Zambia zimepanda katika viwango vya netiboli kimataifa, Tanzania ambayo imeshindwa kushiriki mashindano kadhaa kutokana na...
Read More
NETBALL DARAJA LA PILI KUMEKUCHA TANGA
MICHUANO ya netiboli Ligi daraja la pili iliyoanza juzi mkoani Tanga inaendelea vizuri ambapo baadhi ya timu zimeanza vyema kuonesha makali...
Read More
Mh. ABOOD ATAKA NETBALL MASHULENI
MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood, amevishauri vyama vya netiboli Taifa, wilayani na mikoani, kuelekeza nguvu mitaani n...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)