Ligi kuu ya vodacom imeendelea leo kwa michezo miwili katika mikoa ya Morogoro na Mbeya, ambapo mkoani Mbeya kueshuhudia Tanzania Prisons wakiwa wenyeji wa Mgambo shooting na Morogoro Mtibwa sugar wakiwa enyeji wa JKT Ruvu.
Katika uwanja wa Manungu uliopo Turiani Morogoro, Mtibwa Sugar wamekubali kichapo cha goli 1-0 toka kwaJKT Ruvu.
Goli la JKT Ruvu lilupatikana katika kipindi cha pili baada ya Mtibwa sugar kujifungana na kuizawadia point tatu JKT Ruvu, ambao wamefikisha pointi 28.
Katika uwanja wa Sokoini mkoani Mbeya, Tanzania Prisons wamefanikiwa kujikusanyia pointi tatu baada ya kuwachapa Mgambo shooting goi 2-0.
Goli zote za Tanzania Prisons zilipatikana katika kipindi cha pili cha mchezo, na hivyo matokeo hayo yanaifanya ifikishe pointi 25 n kusogea kwa nafasi mbili toka katika nafasi ya 14 maka nafasi ya 12 katika msimanmo wa ligi kuu ya vodacom.

MSIMAMO WA LIGI KUU BAADA YA MICHEZO YA LEO
| Rn | Timu | P | W | D | L | F | A | Gd | Pts |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | YANGA | 23 | 16 | 4 | 3 | 47 | 14 | 33 | 52 |
| 2 | Azam FC | 23 | 12 | 9 | 2 | 33 | 15 | 18 | 45 |
| 3 | SIMBA SC | 24 | 11 | 8 | 5 | 34 | 17 | 17 | 41 |
| 4 | MBEYA CITY | 24 | 7 | 10 | 7 | 21 | 21 | 0 | 31 |
| 5 | KAGERA SUGAR | 24 | 8 | 7 | 9 | 22 | 24 | -2 | 31 |
| 6 | RUVU SHOOTING | 24 | 7 | 8 | 9 | 16 | 26 | -10 | 29 |
| 7 | MTIBWA SUGAR | 24 | 6 | 10 | 8 | 22 | 24 | -2 | 28 |
| 8 | JKT RUVU | 24 | 7 | 7 | 10 | 18 | 23 | -5 | 28 |
| 9 | Coastal Union | 24 | 6 | 10 | 8 | 16 | 23 | -7 | 28 |
| 10 | MGAMBO SHOOTING | 24 | 8 | 4 | 12 | 18 | 27 | -9 | 28 |
| 11 | STAND UNITED | 24 | 7 | 7 | 10 | 21 | 31 | -10 | 28 |
| 12 | T. PRISONS | 24 | 4 | 13 | 7 | 17 | 22 | -5 | 25 |
| 13 | POLISI MORO | 24 | 5 | 10 | 9 | 15 | 22 | -7 | 25 |
| 14 | NDANDA FC | 24 | 6 | 7 | 11 | 18 | 29 | -11 | 25 |

0 comments:
Post a Comment