Ndoto ya mbaingwa wa soka wa Tanzania Bara Yanga ya kutinga hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika (CAF Federation Cup), imeota mbawa baada ya leo kukubali kichapo cha goli 3-1 toka kwa Medeama.
Katika mchezo huo wa leo uliochezwa nchini Ghana Medeama waliandika goli lao la kwanza katika dakika ya 7 kupitia kwa Moses.
Mara baada ya kuingia kwa goli hilo Medeama walipata penati ambayo Deogratus Munish Dida aliicheza penati hiyo katika dakika ya 9 ya mchezo.
Medeama walifanikiwa kuandika goli la pili katika dakika ya 22 kupitia kwa Abbas Mohammed na dakika mbili mbele Saimon Msuva aliiandikia yanga goli la kwanza kwa mkwaju wa penati.
Goli la tatu la Medeama lilipatikana katika dakika ya 37 kupitia kwa Abbas Mohammed na kupelekea mchezo kumalizika kwa Medeama kuibuka na ushindi wa goli 3-1.
Katika dakika nne za nyongeza amanusura yanga waandike goli la pili, lakini Saimon Msuva na N adir Haroub walishindwa kuingiza mpira nyavuni.
Kwa matokeo hayo yanaiweka yanga katika wakati mgumu wa kutinga hatua ya nusu fainali kwani anahitaji kushinda michezo miwili dhidi ya TP Mazembe na Mo Bejaina, ambapo ni mchezo mmoja utakao chezwa katika uwanja wa taifa, huku wakiwaombea matokeo mabaya Medeama na Mo Baijan katika michezo yao miwili ya mwisho kwa Medeama na mitatu kwa Mo Bejaina washindwe kukusanya pointi tatu katika michezo hiyo.

0 comments:
Post a Comment