Mshambuliaji wa Simba toka nchini Uganda Emanuel Okwi, anatarajiwa kuwasili asubuhi hii na kuelekea moja kwa moja Zanzibar kujiunga na wenzake kwa ajili ya mchezo wa jumamosi.
"Timu inaendelea vema na mazoezi na Okwi anawasili kesho asubuhi (leo) na mara atakapowasili atapitiliza moja kwa moja Zanzibar kabla kurejea jijini Jumatano jioni na Alhamisi kuanza safari ya kwenda Misri tayari kwa pambano hilo," alisema Mtawala.
Emanuel Okwi alielekea Africa kusini baada ya kumaliza kuitumikia timu yake ya taifa ya vijana 'The Cobs' katika mpambano dhidi ya Tanzania, kwa ajili ya kufanya majaribio katika klabu ya Kaizar.
Simba wanajianda na mpambano wa klabu bingwa Africa utakao chezwa hapo jumamosi ya mei 28 katika uwanja wa Petrosport uliopo Cairo nchini Misri.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment