TFF TWIGA STARS WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUWAVAA ZAMBIA dada 6:13:00 PM Add Comment Edit Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini katika Hostel za Makao Makuu ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT Mlalakuwa) kujiandaa... Read More
wanawake TANZANITE YACHAPWA 6 CHAMANZI dada 7:59:00 PM Add Comment Edit Timu ya taifa ya soka la wanawake chini ya miaka 20 ya Tanzania, Tanzanite hii leo wamekubali kichapo cha goli 6-0 toka kwa wakina dada wen... Read More
TFF NIGERIA KUTUA KESHO, KIINGILIO TSH500 AZAM COMPLEXS dada 9:28:00 PM Add Comment Edit Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu - wasichana wenye umri wa chini ya miaka 20 ya Nigeria ‘Falconets’ inatarajiwa kutua nchini usiku wa kumkia ... Read More
TFF LIGI NDOGO YA WANAWAKE KUANZA SEPTEMBER 30 dada 5:01:00 PM Add Comment Edit Ligi Ndogo ya Wanawake sasa itaanza rasmi Septemba 30, 2017 katika Kituo cha Dar es Salaam badala ya Septemba 22, mwaka huu. Wakati tayari... Read More
wanawake TANZANITE YAREJEA DAR KUIVAA NIGERIA dada 9:54:00 PM Add Comment Edit Kocha wa timu ya soka ya Taifa ya wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20 (Tanzanite), Sebastian Nkoma, amekipongeza kikosi chake kwa kiwan... Read More
wanawake TANZANIA YACHAPWA 3 NA NIGERIA dada 10:21:00 PM Add Comment Edit Timu ya Taifa ya soka la wanawake chini ya miaka 20 ya Tanzania 'Tanzanite' imefungwa na timu ya taifa ya soka la wanawake chini y... Read More
vijana KILIMANJARO QUEENS KUTUA SAA 12.05 JIONI, SERENGETI BOYS YATUA dada 6:42:00 PM Add Comment Edit Mabingwa wapya wa Kombe la Chalenji la CECAFA, timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara maarufu kwa jina la Kilimanjaro Queens, sasa itat... Read More
CECAFA KILIMANJARO WATWAA UBINGWA WA CECAFA kj 10:30:00 PM Add Comment Edit Haikuwa ubashiri, badala yake ilikuwa ni mipango thabiti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhakikisha kwamba inavuna ushindi... Read More
CECAFA NKOMA KUIONGOZA KILIMANJARO QUEN dada 7:30:00 PM Add Comment Edit Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemteua Sebastian Nkoma kuwa Kocha Mkuu wa timu ya soka taifa ya wanawake wa Tanzania Bara maarufu kwa ... Read More
wanawake SEMINA YA KLABU ZA WANAWAKE LIGI KUU dada 5:19:00 PM Add Comment Edit Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeandaa semina elekezi kwa klabu za Ligi Kuu za wanawake inayotarajiwa kuanza baadaye mwaka ... Read More
CECAFA WANAWAKE TANZANIA BARA KUSHIRIKI CECAFA kj 10:40:00 AM Add Comment Edit Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kwa Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), kuwa... Read More
TFF MCHEZO WA TWIGA STARS NA RWANDA WAHAIRISHWA kj 8:51:00 PM Add Comment Edit Shirikisho la Mpira wa Miguu Rwanda (FERWAFA), limeahirisha mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya taifa ya wanawake ya Rwanda dh... Read More
wanawake 23 WATAKAO WAVAA RWANDA WATAJWA Unknown 8:48:00 AM Add Comment Edit KOCHA wa Mkuu wa timu ya wanawake, ‘Twiga Stars’, Nasra Juma ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoingia kambini Julai mosi kujiandaa... Read More
wanawake TWIGA STARS KUINGIA KAMBINI MWISHONI MWA WIKI Unknown 8:48:00 AM Add Comment Edit TIMU ya soka ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ inatarajiwa kuingia kambini mwishoni mwa wiki hii kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi y... Read More
TFF KIKOSI CHA TWIGA STARS KUTAJWA MWISHONI MWA MWEZI HUU kj 7:32:00 PM Add Comment Edit KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania (Twiga stars) kinatarajiwa kuwekwa hadharani mwishoni mwa mwezi huu kwa ajili ya kuingia kambini sik... Read More
wanawake TWIGA STARS YATOLEWA NA ZIMBABWE, WAAMBULIA SARE Unknown 9:40:00 PM Add Comment Edit Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania ya Mpira wa Miguu ‘Twiga Stars’ imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji Zimbabwe ‘Mighty Warriors’ kati... Read More
wanawake TWIGA STARS KUONDOKA LEO USIKU Unknown 3:01:00 PM Add Comment Edit Msafara wa watu 25 wa timu ya Taifa ya Wanawake ya mpira wa miguu “Twiga Stars” unatarajiwa kuondoka leo majira ya saa 4 usiku kuelekea nch... Read More
wanawake TWIGA STARS KUWAFUATA ZIMBABWE IJUMAA kj 7:18:00 PM Add Comment Edit Timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu “Twiga Stars” inatarajiwa kusafiri siku ya Ijumaa kuelekea nchini Zimbabwe kwa ajili ya mchezo... Read More
TFF WAZIRI WAMBURA AWAPA MOTISHA TWIGA STARS dada 9:39:00 PM Add Comment Edit Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetimiza ahadi yake ya kuwapa motisha wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira ... Read More
wanawake TWIGA STARS WALALA AZAM COMPLEX dada 6:28:00 PM Add Comment Edit Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga stars leo wamepoteza mbele ya Zimbabwe kwa goli 2-1 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa ... Read More