Timu ya soka ya taifa la Afrika Kusini 'Bafana bafana' wanateremka katika nyasi za uwanja wa Taifa kuikabili timu ya soka ya taifa la Tanzania 'taifa stars' hii leo.
Mchezo huo utakao pigwa jijini Dar es salaam katika uwanja wa Taifa utaanza saa kumi na mbili jioni.
Bafana bafana wanatumia mchezo huu kujiandaa kuwakabili mabingwa wa Afrika Misri katika harakati ya kusaka nafasi ya kushiriki kombe la mataifa Afrika. Bafana bafana hawatakuwa na nyota wanaokipiga ulaya na wale wanao cheza katika timu ya Orlando.
Taifa stars ambayo inajianda kuwa vaa Africa ya kati hapo juni 4, watakosa huduma za nyota wanaocheza nnje ya nchi, huku kukiwa na hati hati ya kumkosa winga machachari Mrisho Ngassa katika mchezo huo.
MSIBA.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania anaye cheza nnchini Vetinam, Danny Mrwanda amefiwa na mama ake na anatarajiwa kurejea nchini wakati wowote.
Tanzania Football Event (TFE) inampa pole Mrwanda, na Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment