Kamati ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF inakutana leo Jumatano Machi 14,2018 pamoja na mambo mengine kamati hiyo it...
Read More
Home / TFF
Showing posts with label TFF. Show all posts
Showing posts with label TFF. Show all posts
NINJE AKABIDHIWA NGORONGORO HEROES
Kocha Ammy Ninje ameteuliwa kuwa Kocha wa muda wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana chini ya miaka 20(Ngorongoro Heroes) Ninje atakiongo...
Read More
NGORONGORO KUWAKABILI MOROCCO WIKIEND HII, STARS KUELEKEA ALGERIA
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi...
Read More
TWIGA STARS WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUWAVAA ZAMBIA
Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini katika Hostel za Makao Makuu ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT Mlalakuwa) kujiandaa...
Read More
SERENGETI WAJIAANDA NA CECAFA, U13 KWENDA UBELGIJI
Timu ya Taifa chini ya miaka 16 Serengeti Boys inaendelea kujiandaa na mashindano ya CECAFA kwa vijana yatakayofanyika Burundi. Kikosi hic...
Read More
KOMBE LA TFF KUENDELEA MWISHONI MWA MWEZI
Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi Machi katika viwanja vi...
Read More
SIMBA YAINGIZA MIL 43 WAKATI YANGA AKIINGIZA MIL 28.8
Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Africa uliozikutanisha Simba ya Tanzania na Al Masry ya Misri uliochezwa Jumatano Machi 7,2018 kwenye...
Read More
NGORONGORO KUJIPIMA NA MOROCCO DAR
Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na Morocco ,mchezo ut...
Read More
23 WAITWA KUWAVAA ALGERIA
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya soka ya Tanzania Taifa Stars Salum Mayanga hii leo ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakocho cheza miche...
Read More
MAYANGA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI KESHO
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Salum Mayanga Alhamis Machi 8, 2018 saa 4 asubuhi atazungumza na Waandishi wa Habari za Michezo kwenye...
Read More
RAIS WA TFF NDUGU KARIA ATUMA SALAMU ZA POLE CYPRUS
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Ndugu Wallace Karia ametuma salamu za pole kwa Chama cha Mpira wa Miguu Cyprus kufuati...
Read More
SHAURI YA KIPA WA AZAM FC KUSIKILIZWA KESHO
Shauri la kipa wa Azam FC Razak Abalora linataraji kusikilizwa kesho katika ofisi za shirikisho la soka Tanzania baada ya hapo juzi kutoka ...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)