Timu ya yanga imesema hawata vaa jezi zenye nembo ya vodacom kwa kuwa ina rangi ambazo ni kinyume na katiba inavyoeleza. Wakati mtani wake Simba wamepanga kuliondoa jina la Derick Waluyali katika usajili wao.
YANGA.
Klabu ya yanga imesema haiwezi na hawata zivaa jezi za Vodacom zenye nembo ya sasa ya vodacom yenye rangi nyekundu na nyeupe ambazo huvaliwa na mtani wake Simba.
Ofisa habari wa Yanga Luis Sendeu amesema kuwa katiba ya yanga ina rangi tatu ambazo zinatakiwa kuwemo kwenye jezi zao ambazo ni njano, kijani na nyeusi. Kutokana na hivyo kukubali kuvaa jezi hizo ni kuenda kinyume na katiba na TFF wanalitambua hilo.
Aliongeza pia vodacom wameingia mkataba na TFF ambayo pia wanaifahamu katiba ya Yanga. Hivyo kuwataka TFF wawe waungwana katika kulitatua hilo.
Mwakilishi wa yanga katika hafla ya kugawa vifaa kwa vilabu vya ligi kuu, aligoma kwenda kuchukua uziu huo na kupiga picha.
SIMBA.
Uongozi wa Simba umepanga kumuondoa kwenye usajili wao mganda Derick Waluyali aliyemajeruhi ili kuwa na idadi ya wachezaji watano wa kigeni.
Baada ya mshambuliaji Dervias Kago ITC yake ikiwa njiani kutumwa, simba ilifikisha wachezaji 6 wakigeni ambapo ni kinyume na kanuni za ligi kuu ya vodacom.
Wakati huo huo timu ya simba imeshatua mkoani Tanga kwa ajili ya mchezo wa jumatano dhidi ya Coastal union ya Tanga.

0 comments:
Post a Comment