Simba na yanga wanakutana kesho agosti 17 katika uwanja wa Taifa katika mchezo wa Ngao ya jamii, iki ni baada ya mwezi mmoja toka wakutane katika fainali ya kombe la Kagame katika uwanja huo wa Taifa, ambapo yanga waliibuka na ushindi wa goli moja.
Kesho wanakutana ikiwa kila timu ikiwa na kikosi chake kamili kitakasho shiriki ligi kuu ya Vodacom.
SIMBA SC.
Simba haitakuwa na wachezaji wanne ambao walicheza katika mchezo uliopita kwa sababu mbalimbali, za kuuzwa, kutemwa ama majeruh.
Wachezaji hao ni Mussa Hassan Mgosi aliyeuzwa kwa DC Motema Pembe na Mohammed Idd Banka aliyeachwa kwenye usajili wa msimu huu na aliingia kuchua nafasi ya Mwinyi kazimoto.
Wengine ni Mwinyi Kazimoto aliyeumia katika mchezo wa watani hao na kumfanya awe nnje ya uwanja kwa mda na Ulimboka Mwakingwe aliyemajeruhi aliyo yapata katika mazoezi.
Kwa Mujibu wa gazeti la Mwanaspoti, Kelvin Yondani ataanzia benchi, huku Emanuel Okwi, Obadia Mwangusa, Uhuru Suleiman na Felix Sunzu wakipata nafasi ya kuanza.
Kikosi kamili cha simba:
1. Juma Kaseja,
2. Chollo,
3. Amir Maftah,
4. Obadia Mangusa,
5. Juma Nyosso,
6. Jerry santo
7. Uhuru Suleiman,
8. Patrick Mafisango,
9. Felix Sunzu
10. Haruna Moshi Boban,
11. Emanuel Okwi.
YOUNG AFRICAN SC (Yanga)
Katika kikosi cha yanga kwa Mujibu wa gazeti la Mwanaspoti, Davis Mwape, Nurdin Bakari na Hamisi Kiiza walio anza katika kikosi kilichopita, kesho wataanzia benchi na nafasi zao zitachukuliwa na mfungaji wa bao pekee katika mchezo uliopita Kenneth Asamoah, kiuongo aliyetoka APR Haruna Niyonzima pamoja na mtanzania Kigi Makasi.
Kikosi kinatarajiwa kuwa hivi:
1. Yarw Berko,
2. Shadrack Nsajigwa,
3. Oscar Joshua,
4. Nadir Haroub Cannavaro,
5. Chacha Marwa,
6. Juma Seif kijiko,
7. Godfrey Taita,
8. Haruna Niyonzima,
9. Kenneth Asamoah,
10. Jerry Tegete,
11. Kigi Makasi

0 comments:
Post a Comment