Mabingwa wa Tanzania bara Yanga SC wameondoka nchini usiku wa kuamkia leo kuelekea nchini Tunisia bila ya kiungo wao Haruna Niyonzima aliye majeruhi.
Yanga watakosa huduma ya Niyonzima katika mchezo huo dhidi ya Es Setif ya Tunisia, mchezo wa marejeano wa kombe la shirikisho, baada ya mchezo wa awali kumalizika kwa sare ya goli 1-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Yanga katika mchezo huo wanaweza wakapata huduma ya kiungo Salum Telelela na Andrew Countinho walioukosa mchezo wa awali kutokana na majeraha
Wachezaji walioondoka na Yanga SC usiku huu ni makipa; Ally Mustafa ‘Barthez’ na Deo Munishi ‘Dida’, mabeki Pato Ngonyani, Oscar Joshua, Edward Charles, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, ’Juma Abdul, Rajab Zahir, Mbuyu Twite na Kevin Yondan.
Viungo ni Nizar Khalfan, Andrey Coutinho, Salum Telela na Said Juma ‘Makapu’, wakati washambuliaji ni Hussein Javu, Amissi Tambwe, Kpah Sherman, Mrisho Ngasa, Jerry Tegete na Simon Msuva.

0 comments:
Post a Comment