Kuelekea oktober 29: kikosi cha mauaji cha Ulomi, SIMBA NA YANGA oktober
Kitaa kimeendelea kuzunguka na kutua katika mitaa miwili ambayo wanaelekeza oktober 29 katika mpambano wa watani wajadi.
Kitaa kimetua kwa HASOLIN ULOMI na SHAFFIH DAUDA SPORT BLOG.
HASOLIN ULOMI.
Hiki ndicho kikosi cha mauaji hapo oktober 29 kwa mtazamo wa Hasolin Ulomi "simba sc! kaseja, chollo, nyoso, costa, jabu, santo, kazimoto, mafisango, boban, sunzu, okwi! yeboyebo chaliiiiiiii!"
SHAFFIH DAUDA SPORT BLOG.
Mechi za Simba na Yanga katika mwezi wa oktober ambapo wamekutana mara 13, wakati wakitoka sare mara 2. Simba wameshinda michezo 6 na kufungwa 5.
OKTOBA 7, 1979 Simba v Yanga 3-1
WAFUNGAJI: Simba: Nico Njohole dk. 3, Mohammed Bakari 'Tall' dk. 38, Abbas Dilunga dk.72. Yanga: Rashidi Hanzuruni dk. 4.
OKTOBA 4, 1980 Simba v Yanga 3-0
WAFUNGAJI: Abdallah Mwinyimkuu dk. 29, Thuwein Ally dk. 82, Nico Njohole dk. 83.
OKTOBA 20, 1990 Yanga v Simba 3-1
WAFUNGAJI: Yanga: Makumbi Juma dk 33, Thomas Kipese dk. 82, Sanifu Lazaro dk. 89 Simba: Edward Chumila dk. 58.
OKTOBA 9, 1991 Yanga v Simba 2-0
WAFUNGAJI: Athumani China dk. 3, Abubakar Salum 'Sure Boy' dk. 54.
OKTOBA 27, 1992 Simba v Yanga 1-0
MFUNGAJI: Damian Morisho Kimti.
OKTOBA 4, 1995 Simba v Yanga 2-1
WAFUNGAJI: Simba: Said Mwamba 'Kizota' dk. 70, Mchunga Bakari dk. 79, Yanga: Mohamed Hussein "Mmachinga" dk. 40.
OKTOBA 23, 1996 Yanga v Simba 1-0
MFUNGAJI: Mohamed Hussein 'Mmachinga' dk. 46
OKTOBA 11, 1997 Yanga v Simba 1-1
WAFUNGAJI: Yanga: Sekilojo Chambua dk. 52 Simba: George Masatu dk. 89 (Mechi hii ilichezwa Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya)
OKTOBA 29, 2006 Simba v Yanga 0-0
OKTOBA 24, 2007: Simba Vs Yanga 1-0
Mfungaji: Ulimboka Mwakingwe (Mechi hii ilichezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro)
OKT 26, 2008 Yanga Vs Simba 1-0
MFUNGAJI: Ben Mwalala dk15. (Mechi hii ilichezwa Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam)
OKTOBA 31, 2009 Simba Vs Yanga 1-0
MFUNGAJI: Mussa Hassan Mgosi dk 26 (Mechi hii ilichezwa Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam)
OKTOBA 16, 2010: Yanga Vs Simba 1-0
MFUNGAJI: Jerry Tegete dk 70