![]() |
| Kikosi cha Ndanda FC Msimu uliopita |
Jumamosi ya agusti 29 Ndanda FC itaitumia siku hiyo kutambulisha nyota wao watakao vaa jezi zao michezo ya ligi kuu na kombe la TFF msimu huu ambapo pazia lake litafunguliwa september 12 mwaka huu.
Katika siku hiyo kikosi hiko Ndanda FC kitacheza mchezo wa kirafika na Azam FC ambapo kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka jijini kesho kuelekea Mtwara kwa ajili ya mchezo huo.

0 comments:
Post a Comment