simba

OKWI AIOKOA SIMBA SC MBELE YA MTIBWA

Goli la mshambuliaji toka Uganda Emanuel Okwi limeipatia Simba SC pointi moja mbele ya Mtibwa sugar na kuwafanya  kuongoza ligi kuu ya vodacom kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.

Goli hilo la Okwi lilipelekea mchezo kumalizika kwa sare ya goli 1-1, ambapo Mtibwa Sugar walikuwa wa mwanzo kufunga goli katika kipindi cha kwanza kupitia kwa Stamili Mbonde.

Okwi aliisawazishia Simba SC katika dakika 90 na kupelekea Simba SC kufikisha pointi 12 sawa na Yanga SC, Mtibwa Sugar na Azam FC.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.