yanga

WACHEZAJI WATAKAO VAA UZI WA YANGA 2015/16

Makipa: Benedict Tinocco, Mudathir Khamis, Deogratius Munishi na Ally Mustafa. 

Walinzi: Juma Abdul, Pato Ngonyani, Kelvin Yondan, Nadir Haroub, Oscar Joshua, Mwinyi Haji Mngwali. 

Viungo: Salum Telela, Said Juma Makapu,Geofrey Mashuiya, Deus Kaseke, Saimon Msuva.

Washambuliaji: Malim Busungu, Mateo Anthony Simon. 

Wachezaji wa kigeni ni: Vincent Bossou (Togo) , Donald Ngoma, Thabani Kamusoko (Zimbabwe), Mbuyu Twite, Haruna Niyonzima (Rwanda), Andrey Coutinho (Brazil) na Amis Tambwe (Burundi)

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.