VPL

KAGERA SUGAR WAICHAPA MWADUI NA KUSOGEA MPAKA NAFASI YA 12

Mabingwa wa zamani wa kombe la Tusker Kagera Sugar wameendelea kujikongoja kukwepa kushuka daraja baada ya leo kufanikiwa kushinda goli 1-0 na kupelekea kupanda mpaka nafasi ya 12 katika msimamo wa ligi kuu ya vodacom wakifkisha pointi 21.

Vijana hao wa kocha Mecky Mexime hii leo walikuwa weneyeji wa Mwadui FC katika mchezo wa mzunguko wa 22 wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa katika uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera.

Goli pekee la Kagera Sugar katika mchezo huo lilifungwa na Japhet Makarai katika dakika 26 ya mchezo.

MSIMAMO WA LIGI KUU BAADA YA MCHEZO HUO WA LEO


About dada

0 comments:

Powered by Blogger.