CAF

YANGA WATUA SALAMA GABORONE, LWANDAMINA ANENA

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania Bara, Yanga wamewasili salama jijini Gaborone, Botswana hii leo saa tisa alasiri kwa ajili ya mchezo wa marejeano wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers jumamosi machi 17 mwaka huu.

Yanga SC wamepokelewa na wapinzani wao Township Rollers katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sir Seretse Khama. Katika mcheao huo wa marejeano Yanga SC wanahitaji ushindi wa tofauti ya magoli mawili ili wafuzu hatua ya makundi.

Akizungumza na mtandao wa rollersfc.com kocha wa yanga George Lwandamina amesema kuwa hana uhakika na ubora wa miundombinu ya vifaa vya mazoezi, na vile vile amesema kuwa wamekuja na mipango yao na kukiri Rollers walikuwa vizuri katika mchezo wa kwanza.

“Don’t think we have come here to acclimatise, it is all about flight connections, we have better traveling access to Botswana, so we made early travel arrangements. We do not even know if the training facilities infrastructure is good here, so we will assess things over the next couple of days since we have not had an advance party that had come before,” Lwandamina said

“Rollers are a good side that plays organized football. I know Botswana football; my brother played here, the team I saw in the first leg was very organized. But we are planning our own game, in football you always have plans… were are now talking about the second half of the game; I don’t call this second leg, it’s like half time, we are playing the second 45 minutes of the game,” Lwandamina said.

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.