vilabu

Majimaji yatimua kocha

Timu ya majimaji imemtimua kocha wake mkuu Sebba Nkoma hapo jana jumatatu. Nkoma ambae aliingia mkataba wa miezi miwili, ambao ungeisha mwezi huu tarehe 27.
Wamemtimua kutokana na timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya vodacom (VPL), kuendelea kuwa na matokeo mabovu na hivyo kuifanya iendelee kukaa nafasi za chini katika msimamo wa ligi.
Kwa sasa itakuwa chini ya kocha msaidizi Peter Mhina.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.