vilabu

Phiri apatwa na matatizo ya kifamilia

aamsuni
Kocha wa simba Patrik Phiri amerejea kwao Zambia, baada ya kupata matatizo ya kifamilia. Phiri akurejea na timu ya simba jijini Dar es salaam baada ya mchezo kati simba na TP Mazembe.
Phiri anatarajiwa kurejea nchini siku ya jumatano, huku kikosi cha simba kikianza maandalizi ya kuwavaa Mazembe leo.
Mara zote Phiri aendapo Zambia kwa matatizo ya kifamilia au likizo, safari yake ya kurejea nchini huwa inapigwa kalenda.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.