VPL

Mechi ya Simba na Kagera sugar ya sogezwa

aamsuni
Mechi ya ligi kuu ya vodacom baina ya Simba na Kagera sugar imesogezwa mbele kwa siku moja. Mechi hiyo ili paswa ichezwe tarehe 27 mwezi huu na Sasa itapigwa tarehe 28 mwezi huu watatu.
Marekebisho hayo yametokana na mchezo baina ya Taifa stars na Afrika ya kati ambao utachezwa jumamosi machi 26.

Aden Rage amesema Simba sc wanauwezo wa kuwafunga TP Mazembe zaidi ya magoli mawili katika mchezo wa marudiano. Akizungumzia kuhusu siku wa pambano la marudiano, alisema itatangazwa leo ni wapi mechi itachezwa na tarehe ipi.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.