aamsuni
Timu ya taifa chini ya miaka 23 'vijana stars' leo watateremka kucheza na Azam fc katika maandalizi ya kuwakabili Cameroun katika mechi ya kufuzu kushiriki michuano ya Olympic nchini Uingeleza. Timu ya vijana stars itacheza na Mtibwa sugar hapo tarehe 18 kabla hawajacheza na Uganda kisha kuelekea Cameroun.
Ligi kuu Tanzania bara inataraji kuendelea leo kwa michezo kadhaa katika mikoa tofauti. Timu ya African Lyon ita ikaribisha Toto Africa ya mwanza, huku polisi Dodoma ikijiuliza kwa AFC ya Arusha, wakati majimaji wakisaka point kwa Kagera sugar. Mtibwa sugar ikiwakaribisha Ruvu shooting.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment