aamsuni
Mechi baina ya watanzania wanaosoma IUA dhidi ya wenzao kutoka Gambia, imeshindikana kuchezwa baada ya wanigeria kugoma kuachia uwanja.
Wanigeria ambao ndio wengi zaidi hapo chuoni, walifika mapema kiwanjani hapo, ambapo Tanzania walikuwa washakifanyia booking, na kuanza kufanya mazoezi. Katibu wa michezo wa Tanzania alienda kuwaomba wanigeria wawapishe lakini walikuwa wagumu kutoka.
Kitendo hicho kilimfanya katibu pamoja na kapteni, kwenda kumtafuta mwenye dhamana ya kutoa vibali vya uwanja kwa ajili ya mechi, ambaye hakuwepo kwenye maeneo ya chuo kwa wakati huo. Hivyo kushindikana kuchezwa kwa mechi hiyo ya kirafiki.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment