vilabu

JEZI ZA COASTAL NA AZAM MITAANI

Jezi za vilabu za Azam ya jijini Dar es salaam na Coastal Union ya Tanga zimeanza kuenea katika mikoa ya timu hizo.

"JEZI ZA TIMU KWA AJILI YA MASHABIKI ZIMEWASILI NA KUANZIA KESHO ZITAWEZA KUPATIKANA TANGA KWA KUANZIA NA BAADAE KUSAMBAA MIKOANI KOTE KWENYE WAPENZI WA COASTAL UNION," ili eleza taarifa ya Coastal Union katika ukurasa wao wa facebook.

"Jezi za Azam FC zinapatikana kwenye maduka ya UHL- ya Kassim Dewji - Mjini, Maduka ya Zizou Fashion Sinza na Victoria na kwa upande wa Tabata zinatatikana kwenye Duka la Wakuganda Tabata Relini na Maduka ya Mwakalebela.... " ilieleza taarifa ya Azam katika ukurasa wao wa facebook.

Jezi za Azam FC zinapatika kwa Tsh 15000 bei ya jumla wakati za Coastal union zikipatikana kwa Tsh 15000 bei ya rejareja.

"kama upo mikoani na unataka kuwa wakala bei ya jumla ni Tsh.15,000 lakini utapaswa kununua at least jezi kumi kwa mkupuo piga simu 0713358995... kwa maelezo zaidi," ilieleza taarifa ya Azam.

"KWA WALE WATAKAOHITAJI KWA JUMLA ILI NA WAO WAWEZE KUUZA MNAWEZA KUWASILIANA NA HEMEDI HAMDU 0655 281388 BEI ELEKEZI KWA MASHABIKI NI TSHS 15,000 NA SI ZAIDI YA HAPO, USIKUBALI KUUZIWA ZAIDI YA BEI ELEKEZI. " ilieleza taarifa ya Coastal union.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.