CAF

KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO HIKI HAPA, MCHEZO KUONYESHWA NA AZAM

Mchezo kati ya yanga na Etoil du Saheil unaotarajiwa kuanza mida ya saa tatu usiku kwa masaa ya Afrika mashariki, kunataarifa ya kuonyeshwa moja kwa moja na Azam TV, kupitia channel ya Azam Two.

Wakati kukiwa na taarifa hiyo kocha wa yanga jana baada ya mazoezi ya mwisho alikiweka hadharani kikosi kitakacho anza hii leo:
1) Ally mustapha
2) Mbuyu Twite
3) Oscar Joshua
4) Kelvin Yondan
5)  Nadir Haroub
6) Saidi makapu
7) Saimon msuva
8) Salum Telela
9) Hamis Tambwe
10) Mrisho ngasa
11) Pah Sherman

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.