kitaa

MANENO YA MKUBWA KUELEKEA NOVEMBER 14


Na Mkubwa Kambi kutoka Kandanda

Ewe rafiki yangu, Mtanzania mwenzangu, shabiki wa soka, kama unadhani Mheshimiwa Raisi John Pombe Magufuli hizi ziara za kustukiza anazifanya kwenye Wizara na taasisi za serikali tu! unakosea sana, ngoja nikushtue!

Taarifa za kiitelijensia zilizonifikia hivi punde, Dk Magufuli atafanya ziara ya ghafla siku ya jumamosi tarehe 14/11/2015 oale kwenye Uwanja wa Taifa, hivyo basi ni vyema tukawepo wote pale ili asije akakufuta kushabikia soka kwa kosa tu la kutokuwepo pale. Kigezo atakachotumia kukufuta upenzi wa soka ni kuwa wewe si Mzalendo. Tafadhali mpe taarifa na mwenzio

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.