kitaa

UNASEMA JOTTI NA MAJUTO WANACHEKESHA

Na Edo Kumwembe
.
.....Unasema Jotti na Majuto wanachekesha? hawana lolote...mpira wetu unachekesha kuliko wao. sikiliza hii. Leo asubuhi kocha mpya wa Simba, Jackson Mayanja kawatazama wachezaji wake kisha akasema 'Yaani hawana fitness kabisaaaaa'. Lakini Coastal (ambako Mayanja ametoka) nao wamepata kocha mpya anaitwa Ally Jangalu...naye jana kawatazama wachezaji wa Coastal kadai 'hawana fitness kabisaaaaaaaaaaaa'........NADHANI UMENIELEWA

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.