kitaa

WACHEZAJI WA COASTAL WATINGA KLABUNI KUDAI CHAO

Wachezaji wa Klabu ya Coastal Union leo wameenda katika makao makuu ya Klabu hiyo kudai Mishahara yao. Imeripotiwa kuwa wachezaji hao hawajalipwa mishahara ya miezi mitatu

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.