ZGPL

BLACK SAILOR WATOA DOZI KWA MAUSTADHI


Timu ya mabaharia weusi Black sailors, imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0, dhidi ya Maustadh wa Chuoni katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda Unguja.

Mtanange huo uliosukumwa ndani ya dimba la Amani, bao pekee la Black sailors limewekwa kimyani na mchezaji Fasihi Hija katika dakika ya 49 ya mchezo huo.

Na hadi unamalizika kwa mchezo huo bao la Fasihi Hija limeetosha kuwapatia Black sailoers alama tatu muhimu katika ligi hiyo.

Black sailors wamefikisha alama 32 wakiwa nafasi ya sita 6, na Chuoni wapo nafasi ya 11 na alama 23.

Chanzo: salma sports media

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.