vilabu

Chamanzi complex kutambuliwa na fifa

aamsuni

Uwanja ulipo chamanzi unao milikiwa na Azam FC umeingia kwenye orodha ya viwanja vya fifa. Uwanja huo ambao bado aujawekwa majukwa uligaguliwa na wakaguzi wa Fifa pale walipo kuja nchini kwa ajili ya kuendesha semina kwa vilabu vya ligi kuu.
Azam fc ndio timu pekee inayomiliki uwanja wenye pitch nzuri ya kuchezea ambapo msimu ujao wanatarajia kuanza kuutumia kwenye ligi kuu.
Kiwanja hicho kilichopo nnje ya jiji kimepata cheti cha FIFA, kama taarifa zinavyoonekana hapo chini na kwenye tovuti ya FIFA,

Country : Tanzania
City : Dar El Salaam
Club : Azam Football
Club Product : Soccerpro MAX S 60
Manufacturer :  Limonta Sport Spa
Pitch Size (LxW) : 105 x 68
Authorisation Number : AF 3243.1
FIFA Recommended : from 16 March 2011 to 15 March 2015

http://www.fifa.com/aboutfifa/developing/ pitchequipment/footballturf/search.html?fu=2

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.