maproo

NDIKUMANA KUIBUKIA STAND UNITED

Wakati kufungwa kwa dirisha la usajili kukipelekwa mbele, mchezaji wa kimataifa wa Burundi na aliyekua mume wa mcheza filamu maarufu wa Tanzania Irene Uwoya ameingia mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu ya Stand United ya mkoani Shinyanga.

Ndikumana alifahamika na wengi nchini baada ya kucheza klabu ya Simba na baadae kufunga ndoa na muingizaji huyo kutoka kiwanda cha Bongo Movie baada ya kuandikwa sana kwenye vyombo vya habari.

Sports Extra imepiga story na Ndikumana kuhusiana na maisha yake ya soka pamoja na mahusiano yake na mkewe ambaye hivi karibuni ameshinda kwenye kura za maoni kuwania nafasi ya ubunge mkoani tabora kwa tiketi ya viti maalum.

Hapa chini kuna story nzima ya Ndikumana akieleza kila kitu kuhusu maisha yake ya sona pamoja uhusiano wake na Uwoya. Bofya hapo usikilize mwenyewe kila kitu.
CHANZO: shaffih dauda online

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.