VPL

Hart-trick moja VPL 2011/12


Mrisho Ngassa akijaribu kumtoka Nadir Haroub

Msimu huu wa ligi kuu ya Vodacom inayofikiwa tamati jioni hii, ambapo Simba SC imetwaa ubingwa, umeshuhudia mchezo mmoja kutoa mchezaji aliyefunga magoli matatu (Hart-trick) kabla ya michezo ya leo.

Hart-trick hiyo ilifungwa na JUMA SEMSUE anaevaa uzi namba 9 katika timu ya Polisi Dodoma iliyokwisha shuka daraja. Semsue alifunga magoli matatu katika mchezo baina ya Polisi Dodoma na Moro United.

Mchezo huo ulichezwa katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi jijini Dar es salaam, september 19 na Polisi Dodoma kutoka kifua mbele kwa goli 5-2.

Semsue msimu mzima amefunga magoli 6 kama Kipre Tchetche, Mrisho Ngassa wote wa Azam FC na Felixs Sunzu wa Simba SC, wakati John Raphael Bocco akiongoza list ya ufungaji kabla ya mchezo wa leo akiwa wamefunga magoli 17 ambayo ni ndoto kwa wachezaji walio chini yake kumfikia.

NO JNO GOAL SCORERS GOALS TEAM HTR PNT
1 19 JOHN BOCCO 17 AZAM FC 0 2
2 26 KENNETH ASAMOAH 10 YANGA SC 0 0
3 25 EMMANUEL OKWI 10 SIMBA SC 0 0
4 20 HAMIS KIIZA 10 YANGA SC 0 1
5 3 NSA JOB 10 VILLA SQUAD 0 2
6 30 PATRICK MAFISANGO 10 SIMBA SC 0 1
7 29 SAID BAHANUZI 7 MTIBWA SUGAR 0 0
8 27 MOHAMED KIJUSO 7 VILLA SQUAD FC / RUVU
SHOOTING
0 2
9 11 GAUDENCE MWAIKIMBA 6 MORO UNITED 0 0
10 9 JUMA SEMSUE 6 POLISI DODOMA FC 1 0
11 16 MRISHO NGASA 6 AZAM FC 0 0
12 28 DAVIES MWAPE 6 YANGA SC 0 0
13 10 KIPRE TCHETCHE 6 AZAM FC 0 0
14 10 FELIX SUNZU 6 SIMBA SC 0 1

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.