aamsuni
Wakati joto la pambano la kufuzu kwa mataifa ya Afria 'CAN' kati ya Taifa stars na Jamuhuru ya africa ya kati, Tff limewataka mashabiki waache kuga wachezaji kwa vigezo vya kilabu.
Hali ya kuwagawa wachezaji ili panda kasi katika pambano baina ya Taifa stars na Palestina, ambapo John Boko alikuwa anazomewa kila anapo gusa mpira. Tff kupitia kwa Oliseh imewataka mashabiki waungane kuishangilia Timu ya taifa kwa pamoja.
Timu ya taifa stars inawakilisha nchi, ni timu ya taifa kila mchezaji mwenye uwezo ambao kocha kauridhia anaweza kucheza huku mashabiki tukitakiwa kuishangilia bila ya kujali wachezaji wametoka klabu gani.
0 comments:
Post a Comment