Kitaa kama kawaida yake kuzunguka huku na kule kusaka taarifa, maoni ya matukio mbalimbali, leo kimetua kwa mchambuzi mashuhuri nchini Edo Kumwembe ambapo anazungumzia ushindi wa Kilimanjaro Stars hii leo.
TWENDE KITAANI
Stars imeshinda 3-0 .....thanks to all players lakini huyu Mwinyi Kazimoto amezidi kunifanya nisijute kumuona my favourite player in Tanzania. tuache kukariri majina...hao wachezaji mnaowahusudu mpaka wanawaona fans ni wapuuzi huku wakiendelea kupiga ndumu na kukacha mazoezini wako wapi? Ndo maana Maximo alikuwa hawataki. soka ni mchezo wa wachezaji 11 sio mchezaji mmoja apigiwe magoti!!!
NYANYAMBUZI ZA WADAU
Robert Nicholous Lugiko:
Mwenye kustahili pongezi na apewe haki yake.
Edo Kumwembe:
Inawezekana tulikuwa tunacheza na timu isiyo bora... lkn bado inarreflect wachezaji wazuri katika timu...thanks to Mwinyi... Kampombe na Redondo
Dismas De Damian Luiz:
Mwinyi kazimoto fund,bt i'l neva forget Mbtwana Samatta Popy,much respects, EDO nakukubal 4 yo tacticts
Mo Palmo Abrah:
xafi,said maulid unajua,ulimwengu anajuaa xana na pia jammaa aliyefunga goli la tatu,jamaa ni striker alipasia ndio akfunga mambo ya henry thiery,anaitwa nani nimemhusudu mno
Gift Lyimo:
Wa pongezi na man of the match ni kiraka shomari kaalcohol.
Regan Mmbando:
Edo kusema kweli yule jamaa aliyepiga goli la 3 ni nomaaaa! Nafikir pale katumia sekunde 3 kukontrol kugeuka na kupiga shut kile ni kipaji jamaa nomaaa! Kama unabisha basi we mchawiii
Baraka John:
Mi kwangu na kapombe na jabu wanapanda na kushuka ila maulid off....na mashabiki wa yanga washamba wanazomea basi ile ni timu ya simba na wawaondoe wa kwao klmnjro stars basi
Mwandu Michael:
Mwinyi Kazimoto ni kila kitu mtambo wa kurutubisha magoli!
Wyreb Estommy:
kazimoto ni hatari ila 4 3 3 ilituua gem ya kwanza na tukicheza 4 3 3 na zimbabwe wanatutoa
Abubakar Mzanda:
Ed0, mi bado nafkr kung'aa kwa hao uliowataja kumechangiwa pia na ukibonde wa Djibout...let's wait 4 their consistency kwa mech na Zimbabwe na au nyngnezo km ztakuwepo!
Weinand Fredrick:
@ Edo..leo ameonyesha uwezo sanaa.. Tabu ya wachezaji wetu,hawajui kama mpira ni ajira na ofc yake ni ile position anayoambiwa acheze....sasa ss wachezaji wetu shida yao wanaingilia ofc za wenzao na kuziacha za kwao wazi ama wanaamua kutokaa kabisa ofcn,,,,,
Michael Kimia:
Kitu kikubwa nlichokiona leo ni diff iliyoletwa na young players,.vry gud pfmnc
Alli Mussa:
Kiufundi hatuna timu ya kujisifia ingawa tumeshinda
Samwel Julius:
lets hope the next game we shall win.
Regan Mmbando:
Tuachane na akina babu mgos, nsajgwa,mauld, boban, kaseja! Hawa madogo 2kiwakazania world cup 2018 2 tafuzu! Madogo nomaaa.
Mwandu Michael:
Kile kikosi kilichocheza na Rwanda ni cha wazee kama Chelsea.
John Mlengule:
kwa kweli tanzania leo wamenifurahisha sana hasa kipind cha pili idala yote imetimia,kazimoto anajua bwana yani kudrive mpira kwake ni kama kuramba koni vile,pia ulimwengu anaweza sema aache umimi team ni ushirikiaano hata kama ww wacheza timu gani.ila mimi siku zote naamini tanzania twaweza ila tatizo letu ni inferiority ktk vichwa vyetu na kujenga nidhamu ya uwoga tunaposikia timu zingne,tafadhari tujaribu kujiona kama cc twajua zaidi ya yeyote kwenye soka uone kama hatutashnda,soka linaanza na kujiamini
Robben Moses:
Kaka yule kazifire anajua kutingsha wachezaji wa tim pnzan na ksha anaweka mpira njiani ushndwe ww straiker. Kapombe, amenikosha na straiker aliescose la 3, kaonyesha wat a substitute mean.
Peter Camilius:
Ulimwengu has got great movements off the ball....ingawa ball control na maamuzi bado ni tatizo kwake.
Edo Kumwembe:
Ulimwengu akipata makocha wazuri atakuwa kama Didier drogba...coz what i think katika umri wa Ulimwengu, akina Drogba walikuwa wanacheza kama yeye tu...tatizo ni improvement bwana na kupata makocha wa uhakika
Edo Kumwembe:
WORLD CUP TANZANIA HAIWEZEKANI KWA SASA WALA KWA MIAKA 10 IJAYO
Mbwana Beleko:
Fans wa yanga hv wakoje? Eti wanazomea dah mie sijawaelewa kabsa. Japo c wote ila wale walokua wanazomea ni washamba. Kama huipendi kill stars usiende uwanjani @EDO mashabk wa yanga wametia aibu
Wyreb Estommy:
ukweli 2naipenda timu yetu na tunamaneno sanaa timu yetu bado sana pasi za mwisho na beki zinazingua laizmen katubeba sana na vi ofsid feki
Peter Camilius:
Yap ni kweli ulimwengu akipata makocha wazuri atakua poa....na kizuri zaidi he is in the great hands....hapo tp mazembe!
Mwandu Michael:
Kazifire bwana ni mwanajeshi mstaafu anajua majukumu yake.
Mo Palmo Abrah:
djibouti c o kipimo cha kuanza kuwapa kichwa michezaji ye2 italewa,kuna wakina maweje huko, niyonzima,blackberry wa kenya,wahuni wa sudan,tungeingiza ngorongoro heroes kwnye challenge,pmja na mababu wachache,watu kama omega seme,salum telela ndo watupeleka worldcup 2018
Simon Maestro Chimbo:
Edo watanzania wengi walimchukia Maximo kutokana na wachezaji wao waliowapenda so saivi wame gundua kitu dats futbol! Umetisha kaka
Ebenezer Agust:
'Chicharito' Bac stars wame2pa raha watanzania juhudi ziendelee kufanyka ili mwali abakie apa apa bongo au co wadau
Weinand Fredrick:
Ukweli ni kwamba.. yani huu ni ukweli,,,Tanzania kuna vipaji vya soccer kuliko ULAYA...madogo wa miaka saba,nane wanavipaji vya ajabu... ila tabu kama anayosema Edo,,hakuna wa kuviendeleza..Maana mpira kwetu huku tunazima sana moto,matayarisho F.
ENDELEA NA MJADALA
0 comments:
Post a Comment