FDL

AFRICAN SPORTS WANUSA LIGI KUU

Wapinzani wa Coastal union, African sports ya mkoani Tanga, imetanguliza mguu mmoja katika ligi kuu ya vodacom baada ya leo kuwafunga Majimaji ya Songea goli 1-0 katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa katika uwanja wa Mkwakwani.

Goli pekee la African sports lilifungwa na Ramadhan Mwanzomgumu katika dakika ya 70 ya mchezo.

About Unknown

0 comments:

Powered by Blogger.