ngumi

CHEKA KUMKABILI MTHAILAND MEI 30



BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisaa baada ya kutoka jera ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha , kutoka Thailand mpambano uho wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam.

Akizungumza matahalisho ya mpambano uho promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii.

Mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipwa nchini P.ST chini ya rais wake Emanuel Mlundwa wamesema kuwa wao wako tayali kwa mpambano uho.

Na bondia wa Thailand ataingia nchini siku tatu kabla ya mpambano huo ambao utavuta isia za wapenzi wengi wa mchezo wa ndondi nchini.  Siku iyo Vicent Mbilinyi 'Sugu' atavaana na Keis Amal

About Unknown

0 comments:

Powered by Blogger.