ngumi

TANZANIA KUWAKILISHWA NA MABONDIA WATATU DR CONGO

Mabondia wa tatu ndio watakao iwakilisha Tanzania katika michuano ya All African Games itakayoanza mwezi ujao nchini DR Congo.

Shirikisho la ngumi nchini limethibitisha kupeleka mabondia wa tatu ambao watadhaminiwa na serikali ya Tanzania, na kutoka na ukata unao ikumba shirikisho hilo la ngumi litashindwa kuzidisha idadi hiyo ya wachezaji ambao serikali imesema ndio watakao walipia.

Moja ya kiongozi wa BFT amenukuliwa akisema kuwa shirikisho hilo halina fedha la kupelekea mabondia nchini DR Congo na hivyo hao watatu watakao iwakilisha Tanzania ndio idadid ambayo serikali imesema ndio itakao wagharamikia katika michuano hiyo inayoshirikisha micherzo mbalimbali kwa nchi za Afrika.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.