CECAFA

STARS WAONDOLEWA CHALENGE KWA MIKWAJU YA PENATI


Timu ya taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro stars) imeondoshwa katika michuano ya chalenge inayoendelea mjini Awassa nchini Ethiopia na wenyeji wa michuano hiyo Ethiopia.

Katika mchezo huo Kilimanjaro stars walikuwa wa mwanzo kupata goli katika kipindi cha kwanza kupitia kwa  John Bocco dakika ya 24, goli lilodumu kipindi chote cha kwanza.

Katika dakika ya 57 Ethiopia walisawazisha goli hi9lo na kupelekea dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 1-1 na mchezo kuamuliwa na mikwaju ya penati.

Katika mikwaju ya penati Ethiopia wamepata penati 4 dhidi ya 3 ya Tanzania bara na kupelekea Ethiopia kutinga katika hatua ya nusu fainali huku Tasnzania bara wakitolewa.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.