ngumi

PAZI AMCHAPA MRUSI WA KO


Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ wa Tanzania akiinuliwa mkono kutangazwa mshindi baada ya ushindi wa Technical Knockout (TKO) raundi ya tatu dhidi ya Andrey Kalyuzhnny wa Urusi ukumbi wa Shanghai Oriental Sports Center mjini Shanghai, China Jumamosi katika pambano lisilo la ubingwa la uzito wa Super Middle. Kushoto mwenye nguo za kijani ni kocha wa Dullah Mbabe, Mtanzania mwenzake, Emmanuel Mlundwa akifurahia kazi yake nzuri

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.